Chini Father Rev Richard kamenya akitafakari jambo na mwinjilisti Michael Ndawile okroro Father kwa kamenya kwa sasa amepata uhamisho na ansalisha kanisa la anglikana makuburi.
Chini ni wana kwaya wa kanisa la st Michael wakitazama ufundi wa upiga picha za video unaofanywa na Juma kazimoto.
Pichani ni mafundi wakifanya kazi ya kuweka jamvi katika kanisa la mtakatifu michael kunduchi mnamo mwaka elfu mbili na Nne ili kuhakikisha ndani ya miaka mitano ijayo wanasari katika kanisa hilo
Hii ni moja kati uwajibikaji uliofanywa miaka ya nyuma katika kuhakikisha kuwa kazi ya Bwana inafanyika na inatimilika
HII PICHA INAYONYESHA KANISA LA ANGLIKANA KUNDUCHI KARIBU KABISA NA SHULE YA MSINGI MTAKUJA KWA MBELE IKIONYESHA MAENDELEO YA UJENZI YANAVYONDELEA KUJENGA NYUMBA YA KUMSHUKURU .
KURASA BADO IPO KATIKA MATENGENEZO
Moja kati ya mafundi wakimwaga zege ilikukamilisha moja kati ya hatua za kwanza za ujenzi wa kanisa
HAYA NDIO MAENDELEO YA UJENZI WA KANISA ANGLIKANA KUNDUCHI !
HII PICHA INAYONYESHA KANISA LA ANGLIKANA KUNDUCHI KARIBU KABISA NA SHULE YA MSINGI MTAKUJA KWA MBELE IKIONYESHA MAENDELEO YA UJENZI YANAVYONDELEA KUJENGA NYUMBA YA KUMSHUKURU .
HAPA NI MUONEKANO WA MBELE KWA JUU LIKIONYESHA MADHABAHU ITAKAVYOKUWA IKIONEKANA .
MUONEKANO HUU NI WA PEMBENI WA KANISA HILI UKWELI NI KWAMBA WAMEDHAMILIA KUJENGA HILI AMBALO LITAWEZA KUCHUKUA WAAMUNI ZAIDI YA MIA MOJA KWA MISA .
HII NI PICHA INAYOONYESHA KANISA HILI NYUMA JINSI LINAVYOJENGWA KWA USTADI WA
HARI JUU MUNGU
AWABARIKI SANA WANAOJENGA KANISA HILI.
HII NI MOJA KATI YA SEHEMU AMBAZO ZINARAJI KUMALIZIKA PUNDE MARA
BAADHI YA MAMBO YA KAMATI YA UJENZI YATAKAPO KAMILIKA
No comments:
Post a Comment